MBAO YAMSAINISHA AMRI SAIDI
Amri Said akikabidhiwa moja ya Tshirt yenye nembo ya mdhamini na Mkurugenzi wa kampuni ya GF Trucks ,Imran Karmal wakati wa hafla hiyo.Picha
na Said Khamis
|
| Amri Said akikabidhiwa moja ya Tshirt yenye nembo ya mdhamini na Mkurugenzi mwenza wa kampuni ya GF Trucks,All jawd Karmal wakati wa hafla hiyo.Picha na Said Khamis |
| Mwenyekiti wa mbao akiwa katika picha ya pamoja na Wakurugenzi wa GF na Kocha Amri Said baada ya kukamilika kwa taratibu zoote za kusaini .Picha na Said Khamis |

No comments