MBAO FC KUANZISHA PROGRAM YA KUHAMASISHA SHUGHULI ZA KIJAMII
Timu ya Mbao Fc kwa kutambua umuhimu wa jamii inayoizunguka imeamua kuanzisha kampeni kabambe ya kuhamasisha shughuli za kijamii. kuanzia mwezi octoba mwaka huu.
Akizungumza na Mbao Fc blog Katibu wa Mbao Fc Ndugu Daniel Naila amesema kuwa Mbao Fc kama taasisi ipo katika mpango wa kuhakikisha kuwa inahamasisha shuguli za kimaendeleo kama vile kufanya usafi, kutoa huduma kwa wagonjwa nk katika mkoa wa Mwanza.


No comments