WAJUE GF TRUCKS AND EQUIPMENTS LTD - WADHAMINI WAPYA WA MBAO FC
Wiki iliyopita Timu ya Mbao Fc iliweka historia kwa kupata mdhamini mpya. Kwa mujibu wa mkataba wa udhamini, Timu yaMbao Fc iapata basi jipya la kisasa pamoja na fedha taslimu
GF Trucks and Equipments Ltd ni kampuni iliyobobea kwenye usambazaji wa malori mashine na vipuri katika mikoa mbalimbali ya Tanzania. kwa kupitia udhamini huo wa Mbao Fc tunatarajia kuwa GF Trucks watazidi kujitanua zaidi kibiashara hasa kwa mikoa inayozunguka kanda ya ziwa.
Kwa taarifa zaidi kuhusu kampuni ya gf trucks bofya hapa: http://www.gftrucks.com/


No comments