Picha Kumi za nguvu Mbao Fc ilipocheza na Singida United
Hebert Lukindo akimtoka beki wa singida united
Habib Haji akishangila goli la kusawazisha dhidi ya singida united
Sadala lipangile tayari kwa ukaguzi kabla ya mechi
Le Captain Yusufu Ndikumana akinyoosha viungo kabla ya mtanange kuanza
Kazi nzuri huanza na dua kwa mwenyezi Mungu
Manuuu......Tayari kwa kazi
Amos Abel akimuacha beki wa stendi united










No comments