TFF YAFANYA MABADILIKO RATIBA YA LIGI
Chama cha Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kupitia bodi ya ligi kimefanya marekebisho ya ratiba ya ligi kuu. iliyokuwa iendelee tarehe 6 mwezi wa tisa mwaka huu baada ya mapumziko ya wiki ya michezo ya kimataifa.
kwa mujibu wa ratiba hiyo timu ya mbao fc itakuwa Dodoma tarehe 10 mwezi wa tisa dhidi ya Singida United kabla ya kupepetana na Mtibwa tarehe 16.9.2017. Kwa mujibu wa ratiba hiyo Mbao fc itacheza mechi ya kwanza katika uwanja wake wa nyumbani CCM Kirumba Mwanza dhidi ya Simba tarehe 21.9.2017


No comments