Leo Asubui Kampuni ya GF Trucks and Equipment LTD imekabidhi basi jipya aina ya Isuzu kwa uongozi wa Mbao FC ikiwa ni sehemu ya udhamini. Kwa maelezo zaidi tazama video hii.
No comments